TANZANIA NCHI YANGU

SMATIKA

SMATIKA

WAFADHILI

Thursday, April 6, 2017

THE UNDERTAKER ASTAAFU MIELEKA KUTOKANA NA KIPIGO KUTOKA KWA ROMAN REIGNS

HATIMAE  Mark William Calaway mwenye umri wa miaka 52, maarufu kama The Undertaker alidondosha koti lake na kofia yake katikati ya jukwaa siku ya Jumapili, ikiwa ni ishara ya kustaafu baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Roman Reigns. Mashabiki wake wameingia katika mtandao wa Twitter wakimpa heshima ya mwisho ya kumuaga kwa hashtag  za #ThankYouTaker na #WrestleMania.

Undertaker's kasha shika ubingwa wa dunia mara nyingi na ameshakuwa mshindi wa dunia wa tag team mara 6 na pia kushinda Royal Rumble. The Undertaker alianza kujulikana katika mieleka mwaka 1984 baada ya kuwa mshiriki wa World Class Championship Wrestling (WCCW) in 1984. Haikuchukua muda mrefu akakumbana na Hulk Hogan aliyekuwa mwanamieleka wa juu zaidi ka wwe enzi zile.

No comments:

Post a Comment